Zifuatazo ni malighafi za kutengenezea chakula cha kuku wa kienyeji hapohapo nyumbani kwako;
1. mahindi
2. pumba
3. chokaa
4. damu
5. chumvi
TAZAMA JINSI YA KUTENGENEZA
,,,,,,,,,
-CHUKUA MAHINDI 50Kg HALAFU YAPARAZE,,,kuparaza ni kuvunja vunja punje za mahindi
-PUMBA YA MAHINDI 5Kg
- MASHUDU YA PAMBA/ALZETI 5Kg
-DAGAA/VUMBI LA DAGAA 5Kg,,,Linapatikana sokoni
- LIMESTONE (CHOKAA) 3Kg,,Inauzwa katika maduka ya pembejeo za Kilimo na Mifugo
- CHUMVI YA WASTANI NA MIFUPA UKIWEZA KUISAGA
WAWEZA CHANGANYA MCHANGANYIKO HUU KIASI CHOHOTE UNACHOWEZA ZINGATIA KANUNI ZILIZOTOLEWA HAPO JUU.
KUKU WA KIENYEJI WALIO FUGWA KATIKA MABANDA WAPE CHAKULA HIKI MARA TATU KWA SIKU KILA SIKU. LAKINI KWA KUKU WA KIENYEJI WANAOZURURA WAPE CHAKULA HIKI MARA MBILI KWA SIKU, ASUBUHI WAKATI WANATOKA KATIKA BANDA NA JIONI WAKATI WANARUDI KATIKA BANDA.
KAWAIDA YA KUKU WA KIENYEJI WAKATI WA KULA NI KUPARUA KWAHIO CHOMBO CHA KUWEKEA CHAKULA HIKI KIWE KIKUBWA KUZUIA KUMWAGA CHAKULA OVYO.
ASANTE MPENZI MSOMAJI WA BLOG HII KWA SOMO FUPI ENDELEA KUTUFUATILIA TENA KWA AJILI YA KUPATA SEMINA NA MAFUNDISHO MBALIMBALI YA UJASIRIAMALI NA JINSI YA KUPAMBANA NA MAISHA NJE YA AJIRA..
KARIBU TENA
MWANDAAJI;;;MAGANGA J. ONGALA
KWA KUSHIRIKIANA NA WATAALAM WA MIFUGO
Very good, nitaanda chakula kibiashara haraka sana
ReplyDeletesawa kaka kazi njema
DeleteHi! I find no contact.. phone numbert etc..
ReplyDeleteI need a specialist, to assist my company with poultry chicken feed. 0683 500 807
ReplyDeleteNingependa kujua mchanganyiko wa 50kg
ReplyDeleteKiasi gani kwa kila kuku moja?
ReplyDeletesimiyuronald603@gmail.com
ReplyDeleteI what chicks
ReplyDelete